Habari za Punde

*CHEKA KIDOGO NA VIJIMAMBO

Eti jamani huyu Dereva wa Pikipiki tumueleweje?, Kofia kaiweka rizev kichwani kavaa Kisado inamaana kisado ni iamara zaidi ya Kofia ya Pikipiki 'Helment'?.....
Mchoma nyama akinadi mishikaki yake iliyotungwa kwenye naniliu mithili ya fagio la nje, sasa sijui unapohitaji mshikaki mmoja anafanyaje ama ni lazima kuchukua yote?
Eti Jamani huyu jamaa anavua samaki ama kokoto? Mchana kweupeeeee katikati ya barabara ati ye atafuta kitoweo...............





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.