Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman, akisoma hotuba yake leo mchana wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la siku moja la Chama cha Majaji Wanawake (TAWJA) lililofunguliwa leo jijini Dar es salaam. Picha na Vicent Tinganya-MAELEZO
Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani akizungumza wakati wa Kongamano la siku moja la Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).
Waziri wa Katiba na sheria Celina Kombani akizungumza na waandishi wa habari baada ya ufunguzi wa kongamano la siku moja la Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) lililokuwa likijadili mambo mbalimbali ikiwamo utoaji wa haki kwa wakati.
No comments:
Post a Comment