Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifungua Semina Elekezi ya siku 10 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoanza leo katika ukumbi wa Hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dar es salaam. Picha na Amour Nassor
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda nje ya Ukumbi wa mikutano uliopo katika Hoteli ya Ubungo Plaza baada ya kufungua rasmi Semina Elekezi ya siku 10 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.
No comments:
Post a Comment