Semina inaendelea..Mapamazuko Saccos
Mwenyekiti wa Chama cha kuweka na kukopa cha Mapambazuko Saccos, Francis Mshana, akizungumza na wanachama wa Chama hicho wakati wa Kikao cha kujadili mambo mbalimbali na ikiwa ni pamoja na maendeleo ya chama hicho yaliyokuwa yakijadiliwa kwenye mafunzo maalum kuhusu namna ya kuendesha Biashara, Utawala wa Usimamizi wa Mikopo, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msimbazi Centrer jana.
Katibu wa Saccos, hiyo akionyesha Tuzo waliyopata hivi karibuni kutokana na Kazi nzuri ya kuhudumia wanachama wake na kurejesha Marejesho kwa wakati.
Baddhi ya wanachama wapya waliojiunga na Saccos hiyo, wakila kiapo wakati wa Semina hiyo kuashiria kujiunga rasmi chamani. 
Kiapo kinaendelea....

Muda wa msosi ulifika wadau walianza kujisevia kabla ya kurejea Kikaoni kumalizia hatua ya pili na ya mwisho ya kuhitimisha kikao hicho.
Muda wa msosi mezani kila mtu alikuwa na Plate hapa...
Msosi mezani kama kawa....

Wakijinyoosha baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kuchangamka....
“UCHAGUZI NI MSINGI WA MAENDELEO, TUSIFANYE MAJARIBIO KWA MUSTAKABALI WA
TAIFA”_JENISTA MHAGAMA
-
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Jenista
Mhagama, amewataka wananchi wa Kijiji cha Nakahegwa kutambua uzito wa
maamuzi...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment