Rais wa Klabu ya African Lyon, Nabil Nasor, akizungumza na waandishi wa habari wakatika akitangaza utaratibu wa kuingia Uwanja wa Taifa kesho kushuhudia mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Atletico Paranaense ya Brazir na Simba, ambapo alisema kuwa milango itakayotumika ni mitatu pekee huku geti kubwa likiachwa na kutumiwa na wageni rasmi wa VIP. Aidha alisema kuwa baada wa watu kujaa uwanjani humo milango yote itafungwa na hivyo aliwataka mashabiki wa soka kujitahidi kuwahi ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
14 hours ago
No comments:
Post a Comment