Beki wa timu ya Zesco ya Zambia, Chalwe Kabamba (kulia) akijaribu kuondosha hatari mbele ya Mshambuliaji wa Simba ya jijini Dar es Salaam, Mbwana Samatta, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini leo jioni. Zesco imeshinda kwa mabao 2-1, yaliyofungwa kipindi cha kwanza na hatimaye Mbwana Samatta akaweza kuipatia Simba bao la kufutia machozi katika kipindi cha pili baada ya krosi safi iliyopigwa na Amir Maftah.
Golikipa wa Zesco, Jacob Banda, akiruka kuokoa mpira uliopigwa na Mbwana Samata bila mafanikio uliokuwa ukitinga wavuni na kuandika bao la kwanza la Simba.
Golikipa wa Zesco, Jacob Banda, akiruka kuokoa mpira uliopigwa na Mbwana Samata bila mafanikio uliokuwa ukitinga wavuni na kuandika bao la kwanza la Simba.
No comments:
Post a Comment