Habari za Punde

*WANANCHI KIGONZILE IRINGA, WAHAHA NA MAJI YA KUTUMIA

Hawa ni baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kigonzile mkoani Iringa, wakiwa katika foleni ya kuchota maji katika mto wa Mchambawima unaopitiwa na maji ya vyooni na maji machafu. Hii ni kutokana na wakazi hao kukosa maji ya Bomba ya kutumia kwa siku kadhaa sasa. Picha na Francis Godwin, IringaWengine wakinawa maji hayo bila wasiwasi.Na wengine wakinywa maji hayo bila shaka, namna hii tutapona kweli??Haya ndiyo maji yenywe kama yanavyoonekana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.