Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale (shoto) na Mkandarasi wa China Sichuan International Cooperation Co. Ltd kutoka China ambae ni Mkurugenzi Diao Guangming (kulia) pichani wakiweka saini ya mkataba wa ujenzi wa kiwango cha lami Barabara ya Iringa- Dodoma. Sherehe hiyo fupi imefanyika leo katika Wizara ya Ujenzi jijini Dar es salaam.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Partick Mfugale (shoto) akibadilishana hati na Meneja Mkuu kwa upande wa maendeleo ya Biashara kutoka kampuni ya Consulting Engineering Services Ltd (India) Private Ltd in Association with M/s Norplan Tanzania Ltd) Sajeev Banerjee, mara baada ya hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya usimamizi wa ujenzi wa mradi wa kiwango cha lami barabara ya kutoka Nyamuge-Musoma, leo Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment