Habari za Punde

*WORLD LUNG FOUNDATION YAHITIMISHA MKUTANO WA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

Ofisa Tawala wa Mradi wa kuzuia vifo vya Mama na Mtoto, Dismas Masumbuko, akifafanua jambo kuhusu mradi huo wakati wa kikao cha kufunga mkutano wa Kilele cha Afya ya Uzazi uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mshauri Mwandamizi wa Kimataifa wa magonjwa ya Kinamama, Profesa Staffan Bergstrom wa Chuo cha Karolinska cha nchini Sweden na Mkurugenzi wa Huduma ya Tiba kutoka Wizara ya Afya, Magreth Muhando.
Mkurugenzi wa Huduma ya Tiba kutoka Wizara ya Afya, Magreth Muhando (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa kikao cha kufunga rasmi mkutano wa Kilele cha Afya ya Uzazi , kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mshauri Mwandamizi wa Kimataifa wa magonjwa ya Kinamama, Profesa Staffan Bergstrom wa Chuo cha Karolinska cha nchini Sweden.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa kujadili Njia Bora za Dharura za Obstetrica care, wakia katika mkutano huo uliofikia kilele.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.