Mshambuliaji wa Arsenal, Robin van Persie (kulia) akifunga gori la nne kwa mpira wa kichwa dhidi ya Newcastle United, mchezo uliomalizika hivi punde huku timu hizo zikitoka sare kwa kufungana mabao 4-4, ambapo Newcastle hadi mapumziko walikuwa wakiongoza kwa mabao 4-0 na hadi dakika ya 83 , Newcastle walikuwa nyuma kwa mabao 3-4, baada ya bao la tatu kupatikana kwa njia ya penati na dakika mbili baadaye Newcastle wameweza kusawazisha bao la nne baada ya shuti kali lililopigwa mita 30 na hivyo hadi mwisho wa mchezo timu hizo zimetoka sare ya 4-4.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muun...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment