Habari za Punde

*BUNGE LAANZA KUUNGURUMA LEO MJINI DODOMA

Wabunge wakiwa kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo wakati wa kikao cha bunge kilichofunguliwa leo.
Mbunge wa Jimbo la Kawe, kupitia tiketi ya CHADEMA, Halima Mdee, akichangia katika kikao cha Bunge mjini Dodoma leo.
"MZEE VIPI UMEME WANANCHI WANATESEKA SANA MZEE"
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia), akizungumza na Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Charles Kitwanga.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.