Habari za Punde

*CHAMA CHA WAMILIKI WA SHULE ZA BINAFSI CHATOA TAMKO JUU YA IDADI KUBWA YA WALIOFELI KIDATO CHA 4

Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki na mameneja wa Vyuo na Shule zisizo za Serikali, Jerry Nyabululu, akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi za Idara ya Habari MAELEZO Dar es Salaam leo, wakati wakitoa tamko la Chama hicho kuhusu kundi kubwa la wanafunzi waliofeli mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne wa mwaka 2010. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho, Benjamin Nkoma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.