Habari za Punde

*KT GROUP YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MABOMU GONGOLAMBOTO

Mweka Hazina wa Kikundi cha KT, Hassan Hasanoo ( kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa magunia ya unga na maboksi ya mafuta, Mstahiki Meya wa Ilala, ambaye pia ni Diwani wa Gongolamboto, Jerry Slaa, kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa Gongolamboto walioathirika na mabomu. Kikundi hicho kimekabidhi jumla ya magunia 250 ya unga na mafuta Katoni 15, vyote vikiwa na thamani ya Sh. milioni 8.25.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.