Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dk. Sander Gurbuz wakati Balozi huyo alipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajili ya kuzungumzia suala la kuendelea kuimarisha umoja na Ushirikiano kati ya Nchi mbili hizi katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo Uwekezaji Vitega uchumi.
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment