Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika kitaifa katika Msikiti wa Manyema jijini Dar es salaam jana usiku.
Viongozi wa Baraza la kiislam Tanzania BAKWATA na Waumini wa Dini ya Kiislam wakicheza Dufu katika sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika jana jioni katika Msikiti wa Manyema jijini Dar esa laam.
No comments:
Post a Comment