Habari za Punde

*SBL YATOA MAFUNZO YA KUTAMBUA TOFAUTI ZA WISKY ZA JOHN WALKER KWA WASAMBAZAJI WAO

Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia Serengeti Breweris Ltd SBL, Caroline Ndungu, akiwa katika zoezi la kunusa Wisky ya Red Label, ili kutambua tofauti kati ya hiyo na nyinginezo wakati wa hafla ya utambulisho na kutofautisha Ladha na tofauti za Wisky za John Walker aina tano za Blue Label, Green Label, Brack Label, Red Label na Gold Label, iliyofanyika jana usiku kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Moven Pick, jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda, akiangalia Wisky ya Black Label wakati wa hafla hiyo.
Ma MC's wa hafla hiyo, Sebo (kushoto) na Gerald Hando (kulia) wakipozi kwa picha na Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia Serengeti Breweris Ltd SBL, Caroline Ndungu, wakati wa hafla hiyo.
Hando akitoa maelekezo kwa wahudumu wa hafla hiyo, jinsi ya kuifungua chupa ya wisky.
Wapiganaji wakiwa kazini katika hafla hiyo...
Seven na wenzake wakishuhudia zoezi la utambulisho wa vinywaji hivyo ukumbini.






No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.