RAIS JAKAYA KIKWETE USO KWA USO NA FREEMAN MBOWE"SASA MAMBO YAMEISHA MZEE!, NAOMBA NISAIDIE YALE MAMBO YA NSSF"
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, wakati wa sherehe za siku ya Sheria nchini, iliyofanyika Makao Makuu ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Spika wa Bunge Anne Makinda.
Rais Jakaya Kikwete, akisoma hotuba yake wakati wa Sherehe hizo.
Rais Jakaya Kikwete, akisoma hotuba yake wakati wa Sherehe hizo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chende, akisoma hotuba Lisara yake kwa Rais Jakaya.
No comments:
Post a Comment