"Unajua mchezo wa soka ni akili zaidi na si miguvu japo kwa sasa mimi akili inakuwa inataka lakini mwili hautaki, lakini bado najiamini kuwa ninauwezo wa kufanya vizuri niwapo uwanjani tena hata kuwazidi baadhi ya wachezaji wetu ambao nimekuwa nikiwaona mara kadhaa wanarukaruka tu uwanjani" alisema Lundenga
PIGENI KURA ZA MAENDELEO- MHE. WANU
-
Na Yohana Kidaga- Rufiji
Mlezi wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania( UWT) Wilaya ya Rufiji, na
Mgombea wa Ubunge kwa jimbo la Makunduchi, Mhe. Wanu Hafi...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment