Mdau hebu tafakari maana halisi ya picha hii, je mtu kama huyu anaamua kuandika ujumbe kama huu na akauweka mahala kama hapa ambapo yeye ndipo hasa maskani kwake na kama jinsi unavyomuona, je mtu kama huyu anapofikia mahali amechoka akili na kila kitu ataweza kuogopa mabomu ya machozi kweli huyu??? si ndo yatatokea kama ya Misri???
NAIBU WAZIRI LONDO ASISITIZA NGUVU YA PAMOJA KATIKA KUYAFIKIA MAENDELEO
ENDELEVU
-
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Mhe. Dennis Londo (Mb.) akishiriki Mkutano wa Kwanza wa Mawaziri wa Mambo
ya Nje ...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment