Habari za Punde

*TBL YATANGAZA WANAMUZIKI WATEULE WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS

"Mpigie kura msanii umpendaye" Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa utambulisho wa wanamuziki wateule wa Tuzo za Muziki Tanzani 2011 ‘Kilimanjaro Music Awards’. Utambulisho wa wateuile hao ulifanyika leo mchana kwenye Ofisi za TBL Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa Tuzo za Kilimanjaro (BASATA), Angelo Luhala na. Mkaguzi wa mahesabu wa kampuni ya Innovex, Lloyd Zhungu.















No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.