Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam, wakiwa katika foleni kwa ajili ya kupata huduma ya kupima afya zao, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afya ya Figo Duniani, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini leo mchana Dkt. Abdul Juma, kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (kushoto) akimpima damu Dyana Ally, mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, wakati wa zoezi la kuchek afya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Afya ya Figo Duniani, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Baadhi ya wakazi wa jijini, wakiwa katika foleni kwa ajili ya kupata nambza za kuwawezesha kuingia kwa daktari kupima afya zao.
Hapa ni sehemu ya mapokezi kama uonavyo watu wakiwa wamejaa kusubiri kupata taratibu za kuanza taratibu za kupimwa.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment