Hapa daladala hili likipakia abiria katikati ya barabara ya Shule ya Uhuru tena mahala ambapo hakuna kituo bila wasiwasi na kusababisha msongamano wa magari yaliyokuwa nyuma yake huku akipigiwa honi za kumtaka awapishe wenzake jambo ambalo halikufanikiwa kwani aliondoka mahala hapa baada ya kumaliza kupakia abiria wote unaowaona hapa fikilia hiyo foleni ilikuwaje.
CANADA YAICHAPA AFRIKA KUSINI 1-0 NA KUITUPA NJE KOMBE LA DUNIA
-
TIMU ya Canada imefanikiwa kwenda Hatua ya16 Bora Fainali za Kombe la
Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Afrika Kusini usiku wa kuamkia
leo Uwan...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment