Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA WIZARA YA MAJI

Rais Jakaya Kikwete, akisisitiza jambo kuhusu upatikanaji wa huduma ya Maji safi na salama nchini kwa Waziri wa Maji Prof. Mark Mwandosya, baada ya kuzungumza na viongozi na wafanyakazi wa Wizara, Idara, Taasisi na Wakala wa Wizara hiyo leo jijini Dar es salam. Picha na Aron Msigwa -MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.