Ofisa Mahusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi (wa pili kushoto) akipewa shukrani na Ofisa Uhusiano wa Umoja wa Miradi ya Viziwi Tanzania (UMIVITA), Tungi Mwanjala, baada ya TBL kukabidhi msaada wa shilingi milioni 2.5 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa jengo la ofisi za UMIVITA. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar ers Salaam leo. Kutoka kulia ni, Mkurugenzi wa chama cha kuhudumia Viziwi Tanzania, Matilda Ngonyani, Katibu Mtendaji wa UMIVITA, Rahim Othman na Mwakilishi wa Tanzanear, Judith Roberts.
MONGELLA AHANI MSIBA WA MGEJA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Bara, John Mongella akiwa
ziarani Mkoani Shinyanga amehani msiba wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment