Habari za Punde

*WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA WODI YA PRIVATE HOSPITALI YA WILAYA YA NGARA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizindua Wodi ya kulipia ‘Private ward’ katika hospitali teule ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera, wakati akiwa katika ziara ya mkoa huo jana. Kushoto ni Askofu wa Jimbo la Rulenge, Severene Niwemugizi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.