Habari njema kwa wasanii wote wa Muziki nchini iliyo katika maadhi tofauti yaani ya aina zote, Tanzania Online Internet Radio inawapa nafasi ya kutangaza nyimbo zenu popote Duniani bure kabisa kupitia Kiyuo namba moja kilicho online pekee hakuna Fm wala Frequency ni wakati wenu kutangaza Muziki wa kizazi kipya Dunia nzima karibuni sana nitumie wimbo kupitia Mbeyayetu@yahoo.com karibuni sana. Tumezingatia umuhimu wenu na kazi zenu Sikiliza Radio Live kupitia tovuti yetu juu ya tangazo la Vodacom. Link ya Radio:- www.mbeyayetu.blogspot.com PresentaDj Sir Frenje (Fredy Njeje)
Prof. Silayo, Dk. Anders wakutana AFWC25, watoa wito wa kuimarisha
uzalishaji wa mbegu bora
-
BANJUL, Gambia — Mazungumzo ya kina kati ya Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala
wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo na Dk. Anders ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment