Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya chama hicho, Profesa Abdallah Safari, aliyekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, aliyejiunga na Chama hicho, wakati wa mkutano na waandishi wa habari wa kumtangaza rasmi uliofanyika kwenye Ofisi za Chadema Kinondoni leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Willbroad Slaa.Show allHide all Mbowe akisaini kadi hiyo ya Safari kabla ya kumkabidhi rasmi, wakati wa hafla hiyo. Mbowe akizungumza na waandsihi wa habari wakati wa mkutano huo.
Hafla hiyo nusu iingiwe na dosari baada ya waandishi wa habari kufikakatika ofisi za Chadema kwa muda muafaka walioambiwa na kukuta hakuna hakuna hata kiongozi mmoja aliyekuwa amewasili kwa ajili ya mkutano huo, hadi ilipoanza kunyesha mvua kubwa iliyofanya eneo hilo la mkutano kuvuja na kuwafanya waandishi wa habari kuhaha kusaka mahala pa kujisitili. Hapa ni mmoja kati ya wafanyakazi wa ofisi hiyo akijaribu kuyatililisha maji hayo yaliyokuwa yametuama juu ya banda lililokuwa maalum kwa ajili ya mkutano huo.
Mvua ikitawala mahala hapo na kufanya Jukwaa kuu la Mkutano huo kulowana kabla ya kuanza kwa mkutano.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Samia aijaza Manoti Stars
-
RAIS Samia Suluhu Hassan ameiwazadia timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’
Sh milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali wa michuano ya Mabingwa wa
Af...
NBAA YAWANOA WATAHINIWA MITIHANI CPA
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha
warsha kwa njia ya mtandao pamoja na mafunzo ya ana kwa ana kwa wanafunzi
wan...
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment