Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha Mwamini Juma Malemi, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Manaibu Katibu Wakuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha ya pamoja na wanafamili wa naibu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akifurahia na mtoto, Irene Simba ambaye ni mtoto wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Juma Malemi (kushoto)
MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA SLOVAKIA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Mhe.
Robe...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment