Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Pascal Robert, akilalama kuhusu kitabu cha Katiba mpya kwa hisia kali wakati wanafunzi hao walipofika na kutaka kuingia kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa kwa ajili ya kusikiliza mchakato wa kupata maoni ya kupata Tume ya Katiba leo mchana. Askali Polisi akilinda eneo hilo wanafunzi wasirejee baada ya kutawanywa kwa mabomu ya machozi.
KONGAMANO LA KODI LAANZA JIJINI DODOMA
-
Na. Eva Ngowi, WF - Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imefanya kongamano la kodi kikanda kwa
kuwakutanisha Wadau kutoka sekta binafsi wakijumuisha wa...
32 minutes ago
No comments:
Post a Comment