Katibu Mtendaji wa BASATA, Materego, akizungumza wakati wa jukwaa hilo na kutoa wito kwa wasanii kushiriki katika kujikinga na VVU/UKIMWI, wakati wa jukwaa hilo la kila Jumatatu linaloandaliwa kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni (CAJAtz).Katikati ni Taji Liundi na Ruyembe.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment