Timu ya mashabiki wa timu ya Manchester United ya uingereza ambao wameibuka kidedea na kuwa mabingwa katika Tamasha la mabingwa wa Mwendelezo wa Msimu Dhahabu na Serengeti Soccer Bonanza Mkoani Tanga, wakishangilia na kuinua kombe lao juu baada ya kushinda katika mchezo dhidi yao na timu ya mashabiki wa Barcelona mkoani humo na hatimaye timu hiyo ikamalizia hasira zake kwa wapinzani wao hao Barcelona kwa kuwabamiza kwa mikwaju ya penati tatu kwa moja baada ya kutoka suluhu katika dakika za 90 kumalizika bila kufungana kwenye bonanza lililofanyika leo kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Meneja mauzo wa Kampuni ya Serengeti Breweries mkoani Tanga, Faki Mohamed,(mwenye kofia) akikabidhi kombe kwa Nahodha wa timu ya mashabiki wa Manchester United, Julius Silasi, baada ya timu hiyo kuibamiza Barcelona katika mchezo wa fainali za Mwendelezo wa Msimu Dhahabu na Serengeti Soccer Bonanza. Kulia ni mratibu wa Bonanza hilo, Shafii Dauda (katikati) ni Meneja Mauzo wa Kanda Patrick Kisaka na Peter Ngassa.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment