Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda akiwaonyesha waheshimiwa wabunge Kombe ambalo Ofisi ya Bunge imeshinda katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika jijini Dar es Salaam kwa kushirikisha taasisi mbalimbali za Umma kutoka barani Africa na kufikia kilele wiki iliyopita. Katika Maonyesho hayo Ofisi ya Bunge imekuwa mshindi wa Pili katika nafasi ya banda bora kwa utoaji bora wa huduma hususani katika kuelezea Kazi za Bunge, Muundo wake, Mamlaka ya Bunge nk. Kushoto ni Kaimu Katibu wa Bunge, John Joel. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
WATEJA WA BENKI YA CRDB WAFURAHIA HUDUMA WAKIJIZOLEA ZAWADI
-
Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada
ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za
be...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment