Vodacom Miss Chang’ombe Cynthia Kimasha (katikati) akipunga mkono kwa furaha, akiwa na washindi wenzake mshindi wa pili, Husna Twalbu (kushoto) na mshindi watatu, Joyce Maweda, baada ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.
Warembo waliotinga katika nafasi tano bora katika kinyanganyiro cha Vodacom Miss Chang’ombe, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi.
Mshiriki, Ummy Mohamed, akipita jukwani na vazi la jioni, shindano hilo lilifanyika.
Baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010, kutoka kushoto Bahati Chando, Salma Mwakalukwa na Consolatha Lukosi, wakipozi katika picha kwenye wakati wakishuhudia shindano la kumtafuta Vodacom Miss Chang’ombe 2011 ambapo Cyntha Kimasha alinyakua taji hilo.
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto), Mdau wa mambo ya urembo, Rachel Sindbird,Rahma Kaude na Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, wakifatilia shindano hilo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Simbu Ateka Mitaa ya Jiji la Dar es Salaam
-
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at%2019.48.18]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at%2019.48.19]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment