Habari za Punde

*HATARI LAKINI SALAMA, MAISHA HAYA HADI LINI??

Wananchi wa kijiji cha Lupanga wilaya ya Ludewa Mkoa wa iringa, wakiwa katika usafiri wa Trecta kuelekea mjini wakitoka kijijini hapo. Wanakijiji wa maeneo hayo wamekuwa wakitumia usafiri huu kutokana na tatizo la usafiri na magari mengi kutofika maeneo hayo, hali ambayo inatishia usalama wa maisha yao na hasa ukizingatia usafiri wenyewe si wa uhakika kiusalama na bado dereva huyo amekuwa akipakia abiri wengi kuzidi uwezo wa trekta hilo. huku gari hilo likiwa bado na namba za zamani TZ.

Trekta hilo likiwa limeegeshwa huku likiendelea kujaza abiria.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.