Baadhi ya Warembo waliofanikiwa kutinga katika fainali ya kumo bora ya shindano la kuwania Duka la Vipodozi linalojulikana kama 'Kimwana Twanga Pepeta', wakipozi kwa furaa wakiwa na keki yao wakati wa hafla fupi ya kupongezwa iliyoandaliwa na mratibu ama mwandaaji wa shindano hilo, Maimartha wa Jesse, iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Fainali hiyo inatarajia kufanyika hivi karibuni jijini. Picha na Mdau
SIMBA SC YAANZA VIBAYA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
-
*EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV*
*KLABU ya Simba SC imeanza vibaya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada
ya kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Petro...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment