Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa, Chiku Abwao, akimuuguza mama yake mzazi, Tatu Abdallahman (79) ambaye amerejeshwa hospitali na kutibiwa nyumbani kwake kijiji cha Gangilonga mjini Iringa mgonjwa huyo anasumbuliwa na matatizo ya mshtuko wa moyo na kupelekea kupooza mguu wa kushoto na mkono. Mbunge huyo Chiku Abwao ameshindwa kuhudhuria Vikao vya bajeti ya Serikali vianavyoendelea mjini Dodoma kwa siku kadhaa sasa kutokana na kumuuguza mama yake mzazi.
KIBAHA FDC YAFANYA MAHAFALI YA 53, YAIBUKA KINARA WA MAFUNZO YA UJUZI
-
Na Mwandishi Wetu,Kibaha
CHUO cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha (FDC Kibaha) kimesema kinajvunia
kuendelea kukuza ujuzi wa kazi kwa vijana pamoja na...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment