Washiriki wa shindano la Miss Utalii wilaya ya Kyela wakiwa katika picha ya pamoja kwenye fukwe za ziwa Nyasa eneo la Mwamunyange’s Beach, wakati wakiwa katika mazoezi ya maandalizi ya shindano lao linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii. Shindano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Asmini Entertainment.
WATEJA WA BENKI YA CRDB WAFURAHIA HUDUMA WAKIJIZOLEA ZAWADI
-
Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada
ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za
be...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment