Habari za Punde

*MWANAMKE KAZI NI KIBAYA UMBEA

Baadhi ya akina mama wafanyabiashara ya Mahindi wakichagua mahidi katika soko la Tandale jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kwenda kuuza maeneo mbalimbali ya jijini la Dar es Salaam.
Akina mama hao hununua mahindi hayo kwa shilingi 40 hadi 80 kwa moja na huuza kwa shilingi 500 hadi 600 baada ya kuchoma ama kuchemsha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.