Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiingia kituo cha polisi cha Centre jijini Dar es Salaam kufuatilia hatma ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe. Picha na Blog ya Issa Michuzi.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari nje ya Kituo cha Polisi cha Centre jijini Dar es salaam kuhusu sakata la kukamtwa kwa kiongozi wa upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye bado anashikiliwa na jeshi hilo na akitarajiwa kusafirishwa kupelekwa Makama ya Mkazi Arusha kujibu shitaka linalomkabiri.
No comments:
Post a Comment