Habari za Punde

*WANAFUNZI WA SEKONDARI YA WASICHANA IRINGA WACHANGIA DAMU

Baadhi ya wanafunzi waliojitokeza katika zoezi la kuchangia damu leo wakiwa katika utaratibu wa kusubiri foleni wakati wa zaoezi hilo lililofanyika katika Viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa.
Baadhi ya wanafunzi wa kiume pia walijitokeza kujitolea damu katika zoezi hilo.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa wakiwa katika foleni ya kuchangia damu leo viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa.
Mmoja kati ya waandishi wa habari waliojitokeza kujitolea damu katika zoezi hilo, Mariam, akitoa damu.
Mwanafunzi akitoa damu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.