Bondia Bingwa wa UBO a nayetetea Mkanda wa wake, Mbwana Matula (kushoto)akitambulishwa rasmi kuhusu pambano lake na Francis Miyeyusho (kulia) baada ya kusaini mkataba wa pambano lao linalotarajia kufanyika Octoba 30 mwaka huu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Dar World Links Ltd, ambao ni waratibu wa pambano hilo, Mohamed Bawazir.
WAWEKEZAJI BIASHARA YA KABONI WAANZA KUMIMINIKA NCHINI
-
Mwandishi Wetu, Dar e Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazung...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment