Dada zake Bwana Harusi Mtarajiwa ‘Twins’ Fatuma na Rehema Ng’anzi nao walikuwepo kushow love kwa kaka yao Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA MTIBWA SUGAR, 1-1 MBWENI
-
TIMU ya Simba SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar
katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Meja
Jener...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment