Wafanyabiashara wa nyama katika mji wa Ludewa mkoani Iringa, wakisafirisha nyama kutoka machinjio ya Ibani Ludewa kwenda katika eneo lao la kufanyia biashara mjini Ludewa. Nyama hii ndiyo hasa inayoelekea kutundikwa katika Bucha tayari kwa kuuzwa kwa wateja japo hali halisi ya usafilishaji wa bidhaa hii si ya usalama huku ikiwa wazi, Mtu ni Afya je hapa afya ipo?? Hii ni hatari kwa watumiaji.
NGORONGORO KUIMARISHA HUDUMA ZA UTALII MAPANGO YA AMBONI TANGA.
-
Na Mwandishi wetu, Amboni-Tanga
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inatarajia kuendelea kuimarisha huduma za
utalii katika mapango ya Amboni yaliyopo mkoa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment