Wananchi wakiangalia gari aina ya Toyota Pick up T 954 AFU lilivyoharibika baada ya kugongwa na lori la mizigo aina Fuso yenye T 279 ACL, na kusababisha kifo cha aliyekuwa diwani wa kata ya Hai Mjini mwaka 2005 hadi 2010, Ombaeli Lema, na mkewe Ruth Oronu, ilyotokea kata ya Mose Wilayani Hai
MOROCCO YAITOA NIGERIA KWA MATUTA, BONO SHUJAA
-
WENYEJI, Morocco wamefanikiwa kwenda Fainali Kombe la Mataifa ya Afrika
baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Nigeria kufuatia sare ya bila
mabao ndan...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment