Habari za Punde

*ENEO HILI LINATAKIWA KUWA MAEGESHO YA HOTELI YA KEMPISKY, HII IMEKAAJE?

Jengo la Mahakama ya Rufaa ambalo hivi majuzi Askari wa kutuliza ghasia walidhibiti maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na baadhi ya wafanyakazi wa jengo hili wakitaka kufikisha ujumbe kuwa Jengo hili halitakiwi kuuzwa kwa mwekezaji wa Hoteli ya Kempisky ili kubomolewa na kupisha ujenzi wa maegesho ya magari ya hoteli hiyo. 

Lakini Hii haijatulia kwani jengo hili pia ni moja kati ya majengo yanayotakiwa kuwa ni moja ya majengo ya Kumbukumbu yaliyoachwa na mwasisi Hayati baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. "Tufikiri mara mbili kabla ya maamuzi"

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.