Mtoto Abdul Bilal (katikati) akiwa na furaha huku akiwa amebeba Keki yake wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake oysterbay Dar es Salaam jana jioni, huku akipewa kampani na dada zake Khalila Bilal (kushoto) na Salma Bilal (kulia). Abdula ametimiza miaka 11."Tumtangulize Mungu kwa kila jambo, kwani yeye ndiye muweza wa kila kitu" anasema Abdul.
Mtoto, Abdul, akikata Keki tayari kwa kuwalisha waliohudhulia hafla hiyo jana.
No comments:
Post a Comment