Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, akiingia kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo wakati akiingia bungeni kuwakilisha Makadirio na Mapato na matumizi ya wizara yake leo.Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, akichangia Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2011-2012, wakati wa kuwasilishwa kwa bajeti hiyo kwa mara ya pili Bungeni mjini Dodoma leo baada ya bajeti hiyo kukataliwa wakati ikiwasilishwa kwa mara ya kwanza bungeni hapo.
No comments:
Post a Comment