Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA WABUNGE WAHOJI MGOMO WA WAUZA MAFUTA NA KUUZWA KWA UDA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Bunge ya Hesbu za Mashirika ya Umma, Kabwe Zuberi Zitto, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana,  kuhusu  Kamati yake iliyomuandikia  barua Spika wa Bunge ikimuomba aridhie mapendekezo ya wabunge wataounda kamati ya Bunge chini ya Kamati hii ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma, ili ichunguze sakata zima la uuzwaji wa shirika la UDA. Picha na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO,
 Mbuge wa Kinondoni, Idd Azan akichangia kuhusu janga la mafuta.
 Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) John Mnyika, akichangia kuhusu tatizo la upatikanaji wa mafuta nchini.
 Mbunge wa Korogwe mjini (CCM) Yusuph Abdallah Nassir, akichangia hoja binafsi ya dharura  aliyoiwakilisha Mbunge wa Bumbulu January Makamba kuhusu tatizo la mafuta nchini, ambalo jana jioni Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja ameasilisha Tamko la Serikali kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.   
 Waziri wa  Nishati na Madini, William Ngeleja, akitoa Tamko rasmi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu upatikanaji wa mafuta nchini ndani ya ukumbi wa vikao vya Bunge. 
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma Kabwe Zuberi Zitto 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.