Habari za Punde

*MWENYEKITI WA WAMA MAMA SALMA KIKWETE AAGANA NA WALIMU WANAFUNZI WA ST. AUGUSTINE

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya walimu wanafunzi saba kutoka Tawi la  Chuo cha Ualimu St. Augustine tawi la Mtwara leo mchana  walipokwenda kumuaga ofisini kwake baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu kwa vitendo katika shule ya mfano ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA Mkoa wa Pwani,.(katikati ni Mwalimu mwanafunzi,  Kaiza Magoa na (kushoto) Kiongozi wao Victoria John. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia alievaa baibui) akizungumza na walimu wanafunzi kutoka chuo cha Ualimu St. Augustine tawi la Mtwara  waliofika ofisini kwake leo mchana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo katika shule ya mfano ya watoto yatima WAMA -NAKAYAMA iliopo chini ya Taasisi ya WAMA.
 Mama Salma akiwa katika Picha ya pamoja na walimu wanafunzi  kutoka chuo cha ualimu ST. Augustine, tawi la Mtwara waliokwenda kumuaga ofisini kwake leo baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu kwa vitendo kwenye shule ya mfano ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA inayofadhiliwa na Taasisi ya WAMA huko Rufiji mkoa wa Pwani

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.