Habari za Punde

*SAKATA LA MAFUTA LAZUA KIZAAZAA MBEYA NAULI 1000 KITUO HADI KITUO

 Moja ya Kituo cha kuuzia mafuta kilichositisha kutoa huduma ya kuuza mafuta kutokana na kituo hicho kuishiwa na bidhaa hiyo na kushindwa kupata bidhaa mpya.
 Wakati Madereva wa Mbeya wakiwa wamefikia hatuo hiyo ya kupandisha nauli kwa Jiji la Dar es Salaam, bado ni kizaazaa, ambapo sasa raia wamefikia kutishia kuchoma moto vituo vya kuuzia mafuta kwa kile walichodai wamiliki kugoma kuwauzia mafuta na kuwakalisha muda mrefu katika foleni wakisubiri mafuta. Hapa ni katika Kituo cha kuuzia mafuta cha Bamaga njia panda ya Sinza jijini Dar.
Hiki ni kituo cha Victoria ambapo napo pia ilibidi wafike askari wa kulinda usalama ili kurejesha hali ya amani na utulivu jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.